Audio Mp3

audio song

Thursday, August 30, 2012

HEGAJO SQUAD NA MASAI 2012

HEGAJO SQUAD ni kundi la muziki wa kizazi kipya kilichoanzishwa rasmi mwaka 2003 Karatu Sec. limeundwa na majembe mawili Heriel Joseph na Gabriel Joseph na kufanikiwa kufanya kazi kadhaa. kati ya hizo ni Dancing floor iliyotamba miaka ya 2004 katika Radio station mbalimbali mkoani Arusha hasa Triple A ndani ya Bongo hood na D.J. Tass.
Hivi sasa kundi hili linatamba na kibao chao kipya kiitwacho Masai ikiwa na Video. Audio pamoja na Video zilifanyika Grandmaster Recs Ngarenaro Arusha Wimbo huu unaelezea changamoto wanazokutana nazo Wamasai hasa Ngorongoro.