Weusi - Madaraka ya kulevya
Madaraaaa Madaraka x2
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2
Mjini nimedondoka kama chopa, chopa
star…
Wananiita zee la makopa
Zee la kulia mtoto hawezi toka
Watoto wanang’oka
Zangu mimi ni kung’arisha moka
Napenda malight camera action
Na malikes nyomi attention
Nyumbani situlii na mummy
Zangu ni vijiwe na kina naniii
Napendaga makiki kama msanii
Nanii, tukipiga picha nipost
Napenda mafollowers
Napendaga makiki kama msaniii
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2
Kila nikiona kibinda mi nadinda
Kila nikiona kibinda mi nawinda
Kidinda kikidinda nakitia ndinda
Wananiita mzee wa vibunda
Na mbele zikivimba nazitoa mimba
Mke wangu kila siku namtoa mapovu
Nimeshaonywa sana na baba askofu
Sijui shetani gani ameniingia
Nimeshaombewa sana na kila parokia
Na bado kila demu mkali mi narukia
Nazama next door na majala
Nakata kwa watoto na katoto
nyumbani haa kajala
Mastaa Bongo muvi wananiitaga danga
Napiga mablunder
Vitumbua vinanijua bingwa la kutia
mchanga
Napiga mablunder
Naishi kama kwangu na nyumba ni ya
kupanga
Vitu vinaenda nganganga
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2
Dereva nagonga miti,
Aaacha, hiyo si sawa dereva una
mkeo,
Mzee nina midananda kibao
Sijui kutongoza msaada ni wao
Mdanada ukizingua mambao
Zee la mipango
Zee la majigambo
Natembelea ndoa ndoano, nawavua
Kijani naitia nyekundu, natibua
Na urithi baba alishaniahidi,
nazitumbua
Ndugu wanalia nauchubua
Mke wangu yuko home nguo zangu
anazifua
Mi niko guest flani zangu navua
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2