Audio Mp3

audio song

Sunday, July 30, 2017

Saturday, July 15, 2017

Rayvanny Mbeleko mp3 lyrics

Wa Safi
Mmmmh

Alisemanga dunia ina mapambo yake eeh
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh
Nimezunguka aah, nimefika kwake eeh
Siwezificha nimeshanasa kwa pendo lake eeh

halabaani
Kakuumba kimwana, mwenye sifa ya upole
Hata mama kakusifu sana, kitofauti na wale (wajana)
Kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa. 

Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only, 
Sitopenda uende mbali one day x2
 
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe) x2
 
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe)
Na jicho lako lakungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe) eeh ummmh umh

Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata (x2)

Koleza motoo tupike tembele kisamvu cha nazi njegele
Zisi kutishe kelele sikwachi iih
Linda nashamba wasije ngedele, kuku niitee kwa muchelee
Mii sipigani na wewe manatii iih
Ndio manaa kwako nimezamaa sitaki mii wanitowee mama maaa
 
Unipulize nipoee

We ndo my queen baby my only, 
Sitopenda uende mbali one day (x2)
 
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe) (x2)
 
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe eeh)
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza (jiachie tu nikubebe eeh)

Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebe) x2
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe eeh)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
(jiachie tu nikubebe…jiachie tu nikubebe…jiachie tu nikubebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza
 
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza
Ayo Laizer

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2017

Matokeo ya kidato cha sita 2017 haya hapa
http://www.necta.go.tz/

http://41.188.136.77/matokeo/