Audio Mp3

audio song

Thursday, January 24, 2019

Matokeo Kidato Cha Nne 2018-2019

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2018 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES      

kupata matokeo ya kidato cha nne bofya link hapa chini

https://matokeo.necta.go.tz/csee/csee.htm

Sunday, January 13, 2019

Chikuna ft Mbosso - Pieces Lyrics

Chikuna ft Mbosso - Pieces Lyrics 

Nipitapo kaja mapenzi
Nishaambiwa hatari
Sijakataa sijiwezi
Mnyonge mi nakubali
Aniombapo siwezi
Mwonyesha hatari
Baada ya miaka na miezi
Bado nina maswali
Mbona hukuniona (ona)
Vile unavyomwona yule uliye naye sasa
Ka roho itapona (pona)
Mungu nisaidie nisilie nipone faster
Away from you (from you)
So my tears dry up
And I can smile again
And this caterpillar can finally a butterfly

[CHORUS]
It made a big big sound
When my heart hit the ground
Then it broke into Broke into (Broke into)
It made a big big sound
When my heart hit the ground
Then it broke into Ten thousand pieces yeah yeah

[MBOSSO]
Nilikuonyesha mapenzi
Hukuonyesha kujali
Nikajitahidi kuenzi
Kujifanya hodari
Ulishindwa nihandle
Kwenye pendo ukaweka mapengo
Kuuziba sikuweza, Ooooh yeah
Shingo upande mwana mnyonge (mnyonge)
Naona mbele bora nisonge (nisonge)
Nitapata mwingine wee
Wa kunipoza rohooo
Tushaanza fanana Tabia tunalingana
Napata raha kuwa nayee (eeeh)
Tunafwatana fatana
Yeye bibi mimi bwana
Napata raha kuwa nayee yeah
Anipa ka joto joto (joto)
Na kunidekeza ka mtoto (toto)
Chumba anakipasha moto ( moto)
Nazama mazima (Oooh yeah hey)

[CHORUS]
It made a big big sound
When my heart hit the ground
Then it broke into Broke into (Broke into)
It made a big big sound
When my heart hit the ground
Then it broke into Broke into (Broke into)
It made a big big sound
When my heart hit the ground
Then it broke into Ten thousand pieces yeah yeah
Hey yeah....nah nah nah nah Oooh oooh
Hey yeah....nah nah nah nah

[CHIKUNE]
Mbona hukuniona (ona)
Vile unavyomwona yule uliye naye sasa
Ka roho itapona (pona)
Mungu nisaidie nisilie nipone faster
Away from you
So my tears dry up
And I can smile again
And this caterpillar can finally butterfly

[CHORUS]
It made a big big sound
When my heart hit the ground
Then it broke into Broke into (Broke into)
It made a big big sound
When my heart hit the ground
Then it broke into Ten thousand pieces yeah yeah

Mocco....

Big big sound....big sound.... [CHIKUNE] Nipitapo kaja mapenzi Nishaambiwa hatari Sijakataa sijiwezi Mnyonge mi nakubali Aniombapo siwezi Mwonyesha hatari Baada ya miaka na miezi Bado nina maswali Mbona hukuniona (ona) Vile unavyomwona yule uliye naye sasa Ka roho itapona (pona) Mungu nisaidie nisilie nipone faster Away from you So my tears dry up And I can smile again And this caterpillar can finally a butterfly

Read more at: https://afrikalyrics.com/en/chikune-pieces-remix-lyrics