Audio Mp3

audio song

Tuesday, December 15, 2015

Diamond Platnumz_ Utanipenda Lyrics



Diamond Platnumz | Utanipenda Lyrics
Tanta lala laaa
La la la la laaaa

Mmmmmh….

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree
Umeneja umebaki jina
hanitaki hata Talee

Oooh wale shabiki zangu
walonisifu kwa maneno matamuu
Leo maadui zangu
ni mitusi tu kwa instagramuu
Kimwanaa si dada anguu
eti nae hanifahamu
Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama Salaama

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa..
Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nilowapitiaga

Ooh nayosema yana maanaa
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabanaa
ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sanaa
mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
aaah
ndioo adui mkubwa wa keshoo
 
La la la la la laaaaa
au je utanipenda gaa?
La la la la laaa
Au nawe utanimwagaa?
La la la la laaaa
Ati utanipenda gaa ooh
Ooooh

Ooooooooh..
Bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tamaa
Utadiriki hata japo kunipost
Pindi show zimekwamaa
Na nikipata sijahis ni mikosi
Oooh jahazi limezama
Mora ninusulu baba
 
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa Dangote
Anakwenda na mama angu
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu,
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke
Eeeey
 
na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuagaa
Utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga
yoyoyooo
Navyo nilivyo mnyonge
Tabia ya kuwajibu sinagaa
Kama naiona michambo ya madem wangu wa zamani yaan
He he heeeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaalaa)
La la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa)
La la la la la alaaaa
Eeeh
Ola la la lilaa ooh
 
I say..
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffa dangote
Ana kwenda na mama angu
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu
Mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena
Mambo yanyooke(he he heee)
Eiiii

Ola lala lilaa
Oooh bby
(Tudy Thomaas)

Oooooh
Nayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni Rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFIIII..

No comments:

Post a Comment