Audio Mp3

audio song

Thursday, February 23, 2017

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Simon Sirro ataja sababu za wahalifu kuachiwa

Kukosekana kwa ushahidi pamoja na gharama kubwa za kuwatunza wahalifu wanapokuwa mikononi mwa polisi, vimetajwa kuwa ndizo sababu kubwa zinazofanya wahalifu wengi kuachiwa mara baada ya kukamatwa na kufikishwa vituoni.

Hayo yamewekwa hadharani na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaa Kamishna Simon Sirro alipokuwa kwenye kipindi cha East Africa Breakfast cha EA Radio, na kuwataka wananchi kuwa na utamaduni wa kutoa ushahidi wa kesi wanazofungua ili watu wahalifu hao wafungwe kwa mujibu wa sheria badala ya kulaumu jeshi la polisi.

Amesema kitendo cha wananchi kukwepa kujitokeza kutoa ushahidi wa kuwatia watu hatiani kunaiongezea gharama kubwa jeshi hilo kwa ajili ya kuwatunza, kuwahifadhi na kuwahudumia kwa chakula.

“Unapoendelea kumuweka mahabusu naye ni binadamu anatakiwa kula, kuoga kusafishiwa maliwato na chumba cha kulala gharama zote ni za serikali ndiyo sababu kubwa tunatoa dhamana ili kuepuka gharama”. Amefafanua Kamishna Sirro.

Amesema Watanzania wengi wamekuwa na tabia ya kulaumu jeshi la polisi pale wanapomuona mtuhumiwa aliyekamatwa na vidhibiti akiwa ameachiwa huru pasipo kujua kuwa kesi yoyote lazima itolewe ushahidi ndipo mtuhumiwa aweze kufungwa kwa mujibu wa sheria.

“Watanzania wote utamaduni wa kufika mahakamani hawana, wao wanachojua ni mtu anakamatwa tu na kufikishwa kituoni, wakati inatakiwa uhakikishe mtuhumiwa kafunguliwa mashtaka na mahakamani kapelekwa pia ushahidi katolewa, ukifuatilia hayo hutolalamika eti askari wamepatiwa rushwa". Amesema Sirro

2 comments:

  1. TESTIMONEY OF TRANSFORMATION WITH THE HELP OF LEXIELOANCOMPANY@YAHOO.COM
    I am writing this Testimony because am really grateful for what MARTINEZ LEXIE did for me and my family when I thought there was no hope he came and make my family feel alive again by lending us loan at a very low interest rate of 2%, well I have been searching for a loan to settle my debts and bills for the past months all I met scammed and took my money total 6,500usd until I finally met a God sent Lender. I never thought that there are still genuine lenders on the internet but to my greatest surprise i got my loan form this great company without wasting much time, so if you are out there looking for a loan of any kind for business or other purposes i would advise you to email Mr MARTINEZ LEXIE via: ( Lexieloancompany@yahoo.com ) OR text: +18168926958 and be free of internet scams. thanks… Jenny Hills Alcott Resident: Los Angeles California, United State

    ReplyDelete
  2. TESTIMONEY OF TRANSFORMATION WITH THE HELP OF LEXIELOANCOMPANY@YAHOO.COM