Audio Mp3

audio song

Tuesday, December 19, 2017

Yvonne Chakachak ft Alikiba - Akili ya mama lyrics


Mama Mama ah Mama ah mama ah hey
Mama mama (mama) mama weh weh weh hey hey
mama mama (mama) mama weh weh hey
Mama mama (mama) mama weh weh weh hey
Mama mama (mama) mama weh weh weh hey

Mama Jamini Mama jamini
Mama Jamini nakuomba nisikie
Leo nimekuja dhumuni na haja
Nia yangu kuja famili hii
Nimemwona sana toka anasoma
Shule ya Mandela Mjiniii
Nakuomba sana mama (mama mama mama)
Nimempenda Jamini
Na haja yangu kubwa (mama mama mama)
Kujiunga na famili ii

Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda

I work hard everyday to feed my children
And pray everyday
Ndo majukumu ya familia 
I work hard ah
Nimemfunza kutunza heshima
Ametulia na nzuri tabia
Hata ukimuoa hutojutia
She works hard
I work hard

Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda

mama mama mama mama
mama mama mama mama
mama mama mama mama
mama mama mama mama

akili ya mama
akili ya mama

mawazo ya mama
yanafanya kazi

akili ya mama
akili ya mama

mawazo ya mama
yanafanya kazi

akili ya mama
akili ya mama

mawazo ya mama
yanafanya kazi

akili ya mama
akili ya mama

mawazo ya mama
yanafanya kazi

Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda
Mama mama
Everybody (weh weh weh) anampenda














(Written by Gabriel Awe) comment for corrections please (weka maoni yako kwa marekebisho)
gabbywe@gmail.com +255 767 499 993 & +255 621 004 880

No comments:

Post a Comment