Audio Mp3

audio song

Monday, August 21, 2023

Mr. T Touch ft. Platform - Dawa Lyrics

Mr. T Touch ft Platform - Dawa Lyrics mashairi

Mmh mmh

Si rahisi ila nipo, radhi tufe wote

Dunia acha ijue we ndo changu kipenda roho (kipenda roho)

 Ninahisi tumeumbwa tuwe wote

Na nimeshatambua we ndo ubavu wangu (ubavu wangu)

Kwenye vita upepo mkali usiniacheee, Uniahidi tutakuwa woteeee

Iwe kwa dhiki ama sina hali usinichokeeee, uniahidi tutakuwa woteeee

Kwakoo, kwako naponapona (dawa) ooh medicine (dawa)

We ni dawa (dawa) ooh dawa (dawa) naponapona (dawa) ooh medicine (dawa)

We ni dawa (dawa) ooh medicine (dawa)

Na nilipopata homa ya jiji ukaja medicine Panadol

Shafanya vingi ila kusema kwako hapana no

So kama tiba naipata tu mi niko sawa

Mama mjini kiki drama siwezi kudoa gawa

Nimepata utulivu mapenzi kwangu siyo business

Upendo wako kwangu unanifanya sioni witness

Nishakuwaga resi Ukazitoa stress

Unaniepusha na maugomvi so nakaa fresh (dawaaaa)

Kweli we ni dawa na ukinipa dawa mi nakuwa sawa (dawaaa)

Mjini mambo ni mengi I swear siwezi kupagawa

Kwenye vita upepo mkali usiniacheee, Uniahidi tutakuwa woteeee

Iwe kwa dhiki ama sina hali usinichokeeee, uniahidi tutakuwa woteeee

Kwakoo, kwako naponapona (dawa) ooh medicine (dawa)

We ni dawa (dawa) ooh dawa (dawa) naponapona (dawa) ooh medicine (dawa)

We ni dawa (dawa) ooh medicine (dawa)

Kweli we ni dawa na ukinipa dawa mi nakuwa sawa (dawaaa)

Mjini mambo ni mengi I swear siwezi kupagawa

(C) Mr. T Touch