Mr. T Touch ft Platform - Dawa Lyrics mashairi
Mmh mmh
Si rahisi ila nipo, radhi tufe wote
Dunia acha ijue we ndo changu kipenda roho (kipenda roho)
Ninahisi tumeumbwa
tuwe wote
Na nimeshatambua we ndo ubavu wangu (ubavu wangu)
Kwenye vita upepo mkali usiniacheee, Uniahidi tutakuwa
woteeee
Iwe kwa dhiki ama sina hali usinichokeeee, uniahidi
tutakuwa woteeee
Kwakoo, kwako naponapona (dawa) ooh medicine (dawa)
We ni dawa (dawa) ooh dawa (dawa) naponapona (dawa) ooh
medicine (dawa)
We ni dawa (dawa) ooh medicine (dawa)
Na nilipopata homa ya jiji ukaja medicine Panadol
Shafanya vingi ila kusema kwako hapana no
So kama tiba naipata tu mi niko sawa
Mama mjini kiki drama siwezi kudoa gawa
Nimepata utulivu mapenzi kwangu siyo business
Upendo wako kwangu unanifanya sioni witness
Nishakuwaga resi Ukazitoa stress
Unaniepusha na maugomvi so nakaa fresh (dawaaaa)
Kweli we ni dawa na ukinipa dawa mi nakuwa sawa (dawaaa)
Mjini mambo ni mengi I swear siwezi kupagawa
Kwenye vita upepo mkali usiniacheee, Uniahidi tutakuwa
woteeee
Iwe kwa dhiki ama sina hali usinichokeeee, uniahidi
tutakuwa woteeee
Kwakoo, kwako naponapona (dawa) ooh medicine (dawa)
We ni dawa (dawa) ooh dawa (dawa) naponapona (dawa) ooh
medicine (dawa)
We ni dawa (dawa) ooh medicine (dawa)
Kweli we ni dawa na ukinipa dawa mi nakuwa sawa (dawaaa)
Mjini mambo ni mengi I swear siwezi kupagawa
(C) Mr. T Touch
No comments:
Post a Comment