Audio Mp3

audio song

Saturday, May 13, 2017

Eti ooh! Sikuhizi hakuna wanaume wa kuoa!!!

Wanawake wa siku hizi .....Utawasikia Ooh Sikuhizi hakuna Wanaume Wa Kuoa, waliokuwepo wanataka wakufunue tu basi waende zao,,,
Sikieni Dada zangu, wanaume wapo sana wa kuoa tena wapo tele humu mitandaoni, makanisani, misikitini, makazini, n.k. ila tatizo linakuja kwenu nyie wenyewe,,

SASA wewe mwonekano Ni wa KICHANGUDOA, Status zako Ni Za KICHANGUDOA,Photos zenu kwenye mitandao ya kijamii ni za KICHANGUDOA, kauli zako ni za KICHANGUDOA Hivi ni Mwanaume Wa Aina Gani ambaye Utamshawishi Ili Akuoe??.

Mwanaume anapokutongoza akili yake anajua wewe Ni CHANGUDOA tu ndo Mana anakufunua Then  anasepa, angoje nini!??? Jiheshimu kuanzia Kauli zako, mwonekano wako, Mavazi yako Na Misimamo yako. Hata kam Mwanaume Anakuja kukutongoza mpe Misimamo Yako hapo Hata kidume atajua ww si mwanamke wa kumchezea tu bali ni wa KUOA.
HATA KAMA MNASEMA NDOA SIYO DILI SIKUHZI ILA NDOA BADO INAHESHIMA NA NI MUHIMU SANA

No comments:

Post a Comment